Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7D51AA22-D39A-4803-B617-BE88A932BE18.jpeg

Si utafika kesho
 
Unacho ongea ni kweli. Kuna muda nakuwa hata sina sababu ya kuwa Mbeya kisa tu joto la Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lile joto Ni kero
nikiendaga huko naogelea Kama samaki..kila muda bafuni
Usiku kuweka chandarua Ni kasheshe kwangu,nikilala bila net nakuwa kitoweo Cha mbu.

Mimi Yale maisha kwa kweli hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom