Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara ya mwisho alisema Yuko busy na Mambo ya kifamilia na akaamua kujiweka mbali na mitandao
Na hakuwepo Dom kipindi hicho..ila alisema soon atarudi
Lol nimemsubiri hadi Leo[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo umtafute umrudishe sasa, kumbuka tuligawana mimi kazi yangu ilikuwa kumtafuta cute b na kumrudisha hivyo mie naendelea na kazi yangu tu.
 
Nilipita mitaa hiyo jioni hii, nilikuta kundi kubwa la watu mahali hapo, nikaambiwa ameonekana mamba kwa mara nyingine.
Na bahati mbaya leo mto umefurika, kwahiyo sidhani kama kuna msaada wowote utakaopatikana toka serikalini
Hapo nimekuelewa Mzee wa pwani. Nashukuru sana kwa uwepo wako hapa maana najifunza vitu vingi sana kutoka kwako.
 
Ndiyo umtafute umrudishe sasa, kumbuka tuligawana mimi kazi yangu ilikuwa kumtafuta cute b na kumrudisha hivyo mie naendelea na kazi yangu tu.
[emoji26][emoji26][emoji26]hivi wewe hujammiss??
Cute b huwa anakuja kuchungulia

Huyu lizarazu dah[emoji134].mmu hata hakunogi bila yeye.
Nakupa kazi ya kumtafuta..yule ndo atakayenitoa Mimi kwenye huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipita mitaa hiyo jioni hii, nilikuta kundi kubwa la watu mahali hapo, nikaambiwa ameonekana mamba kwa mara nyingine.
Na bahati mbaya leo mto umefurika, kwahiyo sidhani kama kuna msaada wowote utakaopatikana toka serikalini

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!
Nakumbuka zamani enzi za ujana tunatoka kota za polisi Chang'ombe hadi Mtongani kwenye hicho kimto kukamata vikambale vya kufuga.Leo hii umekuwa mto mkubwa wa kuua mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom