Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akiendelea kuleta ujinga wake tutamfanyia kama Bernard Membe alifanyiwa na chama chake....

#siombayawachatuendeleekuwakilisha
Daah! Ilikuwa moment mbaya sana mana watu walikuwa wengi humu ndani ilibidi hadi bro Moud nae aliingilie kati kumwambia akaushe kuniuza
Kwani kuna nini mzee mwenzake?
 
Uwiiii umeunga siku mbaya,bongo mvua ikinyesha tanesco wanapata sababu ya kukata umeme,minara inapata sababu ya kupunguza ufanisi wa kazi,net ishuka chini. Hata hivyo bado una muda usikate tamaa inaweza kurudi juu
Umenifanya nijione bonge la fwala[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtandao uko slow kishenzi yan,yaan dk chache zilizopita ulikuwa unasoma fresh tu si ndo nikaingiwa na tamaa
 
Umenifanya nijione bonge la fwala[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtandao uko slow kishenzi yan,yaan dk chache zilizopita ulikuwa unasoma fresh tu si ndo nikaingiwa na tamaa
Pole huwa ipo hivyo kabla hujaunga bunda refu net inakua poa,unga sasa wanaanza mazingaombwe kasi inarudi saa tisa usiku
 
Back
Top Bottom