Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hupunguza shinikizo la damu.
Asante sana bro..Pole bro.
Slay qeen nimeona amekua shangazi tayari😀😀😀😀😀
Sana, napitia ansadi hapa.Asante sana bro..
Yani umepotea hapa muda mfupi tu lakini mambo mengi sana yametokea 😀
Jirani hujalala?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili dongo kama nimepigwa mimi
Yalaaaah[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
😀😀😀😀😀😀Mpendwa msema kweli mpenzi wa Mungu (in JPM's voice) naomba ukiri tu kuwa leo hauja oga, wapendwa wako tutakutetea.
Hauwezi kuoga kwa dakika kumi mzee mwenzangu, hauwezi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app