Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Weee nae unavyopenda kumtetea na kumdekeza hadi nahisi stella ni lastborn wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu bro sema ugeni wake ulikua unachangia sana
MtaniNimemwona [emoji3][emoji3][emoji3]
Uwiiii umeunga siku mbaya,bongo mvua ikinyesha tanesco wanapata sababu ya kukata umeme,minara inapata sababu ya kupunguza ufanisi wa kazi,net ishuka chini. Hata hivyo bado una muda usikate tamaa inaweza kurudi juuNaona na leo net inanifanyia mazingaombwe hapa[emoji26][emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee nae unavyopenda kumtetea na kumdekeza hadi nahisi stella ni lastborn wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiendelea kuleta ujinga wake tutamfanyia kama Bernard Membe alifanyiwa na chama chake....
#siombayawachatuendeleekuwakilisha
Kwani kuna nini mzee mwenzake?Daah! Ilikuwa moment mbaya sana mana watu walikuwa wengi humu ndani ilibidi hadi bro Moud nae aliingilie kati kumwambia akaushe kuniuza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mpo wengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili dongo kama nimepigwa mimi
Yalaaaah[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Niambie mtani.Mtani
Umenifanya nijione bonge la fwala[emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiii umeunga siku mbaya,bongo mvua ikinyesha tanesco wanapata sababu ya kukata umeme,minara inapata sababu ya kupunguza ufanisi wa kazi,net ishuka chini. Hata hivyo bado una muda usikate tamaa inaweza kurudi juu
Mzee wapi kakijana hako kamepoteza picha ya mguu anne akaiokota na kuisifia sifiaKwani kuna nini mzee mwenzake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mpo wengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole huwa ipo hivyo kabla hujaunga bunda refu net inakua poa,unga sasa wanaanza mazingaombwe kasi inarudi saa tisa usikuUmenifanya nijione bonge la fwala[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtandao uko slow kishenzi yan,yaan dk chache zilizopita ulikuwa unasoma fresh tu si ndo nikaingiwa na tamaa
hahahahahahah, mguu wa pembeni sio.Mzee wapi kakijana hako kamepoteza picha ya mguu anne akaiokota na kuisifia sifia
Mtani siku hizi umekua adimu sanaNiambie mtani.
Weekend inasemaje?Naona Tanesco walitishia leo.
Ngoja niendelee kuangaliaPole huwa ipo hivyo kabla hujaunga bunda refu net inakua poa,unga sasa wanaanza mazingaombwe kasi inarudi saa tisa usiku
Mtani naomba ufafanuzi hapo kwenye mguu wa pembeni[emoji23][emoji23]hahahahahahah, mguu wa pembeni sio.
Nimepitwa sana.
Mguu wa mtoto kwa sauti ya stella[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahahah, mguu wa pembeni sio.
Nimepitwa sana.
All the bestNgoja niendelee kuangalia
Tuvumiliane hivyo hivyo....Mtani siku hizi umekua adimu sana
Weekend iko poa tu
Tanesco siku hizi wanatuonea sana huku kwetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stella chizi sanaMguu wa mtoto kwa sauti ya stella[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapitwa mno na hizi baraka kubwa kubwa
[emoji120][emoji120][emoji120]All the best