Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wekeaneni picha ila msikereke kwa ujio wa wengine kha mnajishtukia kama mmefumaniwa kibarazani
Mkuu leo tupo kwenye 170 kutokana na ongezeko la watu 23 huko Zanzibar na vifo vya watu 2 walio fia majumbani mwao.Covid 19
Afrika mashariki na nchi jirani.
1. DR Congo 307 vifo 25
2. Kenya 262 vifo 12
3. Tanzania 147 vifo 5
4. Rwanda 144
5. Zambia 57 vifo 2
6. Uganda 55
7. Msumbiji 35 vifo 2
8. Malawi 17 vifo 2
9. Burundi 5 kifo 1.
Chanzo ni mashirika ya habari