moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uhuru wa vyombo vya habari unahitaji weledi wa waandishi wa habari katika kutafuta vyanzo sahihi vya habari na kutoa taarifa sahihi zenye maslahi kwa umma.
Mungu Mtukufu atukinge
Mkuu leo tupo kwenye 170 kutokana na ongezeko la watu 23 huko Zanzibar na vifo vya watu 2 walio fia majumbani mwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bara updates za mwisho si za Ijumaa?Mkuu leo tupo kwenye 170 kutokana na ongezeko la watu 23 huko Zanzibar na vifo vya watu 2 walio fia majumbani mwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu leo tupo kwenye 170 kutokana na ongezeko la watu 23 huko Zanzibar na vifo vya watu 2 walio fia majumbani mwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bara updates za mwisho si za Ijumaa?
Okay, thanks bro.Ni Ijumaa maana jana hakukuwa na taarifa ya serikali.
Shangazi umekua mkali kama vile hujaenda kanisani leo.Baadae natoa povu kwa mnaowekeana picha mnaboa kishenzi mkiona mtu mwingine kafika mnakereka utadhan huu uzi ni wa selfie. Sipendi unafiki
Daima huwa nasema ukweli tumegeuka wakimbizi ndani ya uzi wetu pendwa.Shangazi umekua mkali kama vile hujaenda kanisani leo.
#msemaUkweliKipenziChaMungu
Baadae natoa povu kwa mnaowekeana picha mnaboa kishenzi mkiona mtu mwingine kafika mnakereka utadhan huu uzi ni wa selfie. Sipendi unafiki
[emoji23][emoji23][emoji23]