myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji2][emoji2]
Hatari sana....kwema mkuuMkuu leo tupo kwenye 170 kutokana na ongezeko la watu 23 huko Zanzibar na vifo vya watu 2 walio fia majumbani mwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh h!!!
โ Wanasubiria kumbeba wacheze kale kawimbo๐๐๐Nani kaona?View attachment 1423767
Mwamba amesamaraizi vizuri mno.
Jamaa wanatrend haoโ Wanasubiria kumbeba wacheze kale kawimbo๐๐๐
Wewe ulipost juzi kuwa uongozi wanamtoa kafara; sasa kwanini asipambane?๐๐Wakati wenzie wamejifungia ndani,chenyewe busy kugombana na uongozi cheiii