Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji28] [emoji28]
Imagine tayari..!! Na nilikatazwa kula while nagusa simu ankoo, it ain't table manner basii tu hivii vichwa vigumu..!!

Here waiting, ole wako usikuje ankoo..!!
Nikikuja late sitakusumbua kwa mlango, nitasimama kwa nje for 5mins,nitaleft huku nikifuta machozi ya upendo [emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa mtaalam utaweza just imagine kuna ugomvi mwingine huwa najibu huku nachapa kazi iwe kufua etc lakin hunikosi kwenye kureply faster
[emoji28] [emoji28]
Labda kama ni kufua na machine, lakini kwa mkono? Nitaipaka JF nzima mapovu niwamwagie maji mpaka kwa huu uzi pendwa..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo nafanya kazi kwenye excel hapa yaani ni shida ninavyozikosea kutengeneza formula, vitu vitatu (kimiminika, computer, JF) kwa wakati mmoja na navisongesha... Najikuta saa nane usiku mabega, mgongo, kiuno vyote vinauma ila sikomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko upo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…