andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kila mlaji nae huliwa...
Yale makopa kopa yalikuwa ya nini?
Aunt yako alivyosema umeruka Dengue umekanyaga Corona hukumwambia unatupanga?
[emoji2357]Yaani wewe
Sasa kipindi chote hicho muda wa vipindi vya dini ulikuwa unahudhulia vyama gani au muda wa hivyo vipindi ulikua unatoroka shule?Hahahahaa hivi vyeti nilivipata kibahati bahat hasa form four,nilijua kuna ukwata wiki moja kabla ya gradu yake daah kila nikikumbuka nacheka tu
😂😂😂😂😂Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu watatu leo wananichekesha sana hasa huyu mwana mfalme wa Uswazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora na wewe uulize bro [emoji23][emoji23]
😀😀😀😀Yale makopa kopa yalikuwa ya nini?
Aunt yako alivyosema umeruka Dengue umekanyaga Corona hukumwambia unatupanga?
🤦♂️Yaani wewe
Mpendwa mawazo yangu kwa sasa yamebadilika kila sekunde nawaza hili gonjwa nashindwa kujizuia ila nikiwa JF kidogo nafurahi mawazo yanapungua
Kweli taarifa hizi nyeti labda watoe wanafamilia wenyewe endapo wataamua..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jioni ya mlaji kuliwa. ...
Shukrani mpendwa 🙏Usiogope kupita kiasi, jichanganye ufurahie maisha haya machache yaliyobaki.
Maana mara corona, mara kimondo.
Ni shida tupu.
Cheka tu mpendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msongo wa mawazo unapelekea kupunguza nguvu za seli hai ambazo ndio hupambana na maradhi mwilini(Binti Mpole atanisaidia hapa)Mpendwa mawazo yangu kwa sasa yamebadilika kila sekunde nawaza hili gonjwa nashindwa kujizuia ila nikiwa JF kidogo nafurahi mawazo yanapungua
Akii babe, kumbe unanipenda hivi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji39]Yale makopa kopa yalikuwa ya nini?
Aunt yako alivyosema umeruka Dengue umekanyaga Corona hukumwambia unatupanga?
[emoji2357]Yaani wewe
Shukrani mpendwa 🙏Msongo wa mawazo unapelekea kupunguza nguvu za seli hai ambazo ndio hupambana na maradhi mwilini(Binti Mpole atanisaidia hapa)
Watu wenye mawazo pia ni miongoni mwa watu ambao wakipata huu ugonjwa wanakuwa kwenye risk kubwa ya kupotea
Usiuzingatie sana huu ugonjwa wewe ishi maisha kama hakuna kinachoendelea pia penda kufanya au kufatilia vitu ambavyo vitakupotezea mawazo
Sijaampa talaka yoyote, nashangaa anasema yuko single[emoji22][emoji23][emoji23][emoji23] TH kwani ulimpa talaka rejea?