myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
π π
π π π π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua JIRANI ana matatizo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unamfanyia visa mwenzio kiasi hiki akikufa je πππSikujua kama ana wivu namna hii[emoji38]....
Aisee!Rais Nana Akufo-Ado wa Ghana ameqondoa karantini ya nyumbani, al maarufu Lockdown kwenye taifa hilo linaloshika namba 5 kwa kuwa na wagonjwa wengi barani Afrikan. Ghana ina wagonjwa 1042 na ambapo wamepoteza watu 9 kwa ugonjwa huo.
Sababu kubwa aliyotoa rais huyo ni mateso ya watu wake yanayosababishwa na umasikini wa taifa hiloView attachment 1424878
Sent using Jamii Forums mobile app
Oman ndio huwa natembelea kidogo, kuna siku uliweka picha hapa ya eneo fulani huko nikakuuliza shwali kama hili uliloniulizaUpo Dubai or Oman
Mimi naokota picha huko fecebook ila wewe mpendwa upo hukoOman ndio huwa natembelea kidogo, kuna siku uliweka picha hapa ya eneo fulani huko nikakuuliza shwali kama hili uliloniuliza
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Bahati yangu watu wanailalia sana mlango wazi mpendwa
#ngojaniendeleekuvutasubira
Ahaha anko umesahau vile ananisumbua huyu kijana
Mpendwa si mahaba hayo kutaniana ipo πππ
Ungekuwa sio mwenyeji usingejua hizo bidhaa zinatoka wapi mpendwa, me nipo bongo hayo maTBT tuMimi naokota picha huko fecebook ila wewe mpendwa upo huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah kaka moud hadi wewe.....Mie nasubiri kuja kumpa baraka zangu mpendwa siku moja,nimwite Mwenza[emoji7]Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hivyo TH kuna methali ya kiswahili isemayo "Kizuri kula na nduguyo" nadhani kosa la mfalme kujifanya yupo single.
Sisi ni wafrika, tuna share vitu vingi sana, si vibaya mkikubaliana juu ushirika wako na mpendwa juu ya mwana mfalme[emoji23][emoji2089][emoji2089]
Hapana huyu anamaanisha kabisa wala hanitanii πMpendwa si mahaba hayo kutaniana ipo πππ
Kila mla cha mwenzie na chake pia huliwaaaaaaaaa..................
Kuwa na subira KD, au nighairi[emoji2955]