Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimekusoma bro.
Ulipotea hapa hadi yakaanza maneno ya chini chini😀😀😀
Maneno ya chini chini hayakosekani kwa Waswahili. Hata siku ukifa maneno ya chini chini yatakuwepo tu. Nipo bro. Natumaini huko kwako kuko salama pamoja na shemeji na kamalaika ketu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…