Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wapi mzee siku hizi wapinzani wengi naona kuta za timu pinzani zinaimarika kila siku, matokeo tunapata kwa tabu sana wakina VVD kibaoKD Mkatalunya naona mechi mbili tatu za Mwisho umechukua namba 9 yako, nasikia record yako kila mechi Unaondoka na Mpira wako [emoji16]
MonsterLove the way you Lie
😀😀😀Naisubiri shem 😀
Monster
Nakubali Mkatalunya mule jamaa alitulia sana sijui alikuwa katika mood gani tu muda anachoraUandishi wa humo kwenye Love the way you lie’mzito sana Mkatalunya
Kwema bro?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Huku kwema bro. Huko kwako kukoje?Bro habari gani