Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Bro habari gani
Huku kwema bro. Huko kwako kukoje?
Kwema bro?
Umeona lakini hicho kifaa adimu?
Wapi mzee siku hizi wapinzani wengi naona kuta za timu pinzani zinaimarika kila siku, matokeo tunapata kwa tabu sana wakina VVD kibao
😂😂😂😂😂😂[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
VVD unampa Free-kick kama za Messi unajitahidi kuwa unamkimbia
Mpendwa unautani na mzee Saint Anne eeeeh 😀😀😀😀
Sio injured kweli? 😂Skip
Kwanini injured ? 🤠Sio injured kweli? 😂
Kumbe Anne ni Mnyaki kile kiuno nimeaminiMpendwa unautani na mzee Saint Anne eeeeh 😀😀😀😀