Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Watafute suluhishoHawa jamaa wanapata tabu kila leo
Watafute suluhishoHawa jamaa wanapata tabu kila leo
Matatizo mengine inabidi unakuwa mpole tu maana suluhisho hutafuti wewe mpaka utafutiweWatafute suluhisho
Inasikitisha mkuu, vipi lakini graph yenu inaendaje?Sana Sana especially kwa wale wa wafanyi kazi wa kulipwa kila siku.
Yetu iko hapa.Inasikitisha mkuu, vipi lakini graph yenu inaendaje?
Ni kweli kabisa hapoMatatizo mengine inabidi unakuwa mpole tu maana suluhisho hutafuti wewe mpaka utafutiwe
Namba bado zinapanda. Duh!Yetu iko hapa. View attachment 1426001
Next month kutakuwa kubaya zaidi. Namba itakuwa inapanda na watu zaidi ya hamsini au mia.Namba bado zinapanda. Duh!
Daah! Inatisha hata kusikia tuNext month kutakuwa kubaya zaidi. Namba itakuwa inapanda na watu zaidi ya hamsini au mia.
Inauchungu tena inatisha sana.. Venye naweza sema ni kila mtu azufuate sheria za serikali.Daah! Inatisha hata kusikia tu
Kufata vile wenye mamlaka wanasema, kufata ushauri wa kitaalamu na kufanya maombi ndio jambo la msingi zaid. Hili nalo litapita mzeeInauchungu tena inatisha sana.. Venye naweza sema ni kila mtu azufuate sheria za serikali.
All we have to do as African people is kneel down and pray, we follow all the rules and regulations of our governments ... Mengine tumuachia Mungu mwenye enzi.
#Hakuepukiki...[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2357]View attachment 1426005
Wala sibishi bro 😂#Hakuepukiki...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
😂😂😂😂😂😂Mkatalunya wewe huwezi kukaa bench [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkatalunya kuna kitu naisikiliza hapa sio poa mzeeMkatalunya wewe huwezi kukaa bench [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkatalunya kuna kitu naisikiliza hapa sio poa mzee