Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Zuwena ya Mr PaulIpi hiyo
Imeisha hiyoMchungaji kaondoka na Korona ama? Mbona masharti makali hivi? Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1426022
Kama mkeka basi umetiki..Mchungaji kaondoka na Korona ama? Mbona masharti makali hivi? Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1426022
Zuwena ya Mr Paul
Pamoja sana Mkatalunya, kuna majambo hapa ngoja nideal nayo kama vipi kuwa na usiku chanyaHapo pazuri sana ngoja nijiongeze
✔✔Huku mambo ni yale yale tu ya kawaida.. Lakini kwangu niko mzima huku nukifuata sheria.