Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamuziki mkongwe barani Afrika Yvonne Chakachaka amekatisha ziara yake ya muziki kwa nchi za Afrika kuadhimisha miaka 55 ya kuzaliwa kwake na miaka 35 akiwa ndani muziki kwa sababu ya corona.
Chakachaka amewashukuru mashabiki wake kwa kumuunga mkono.
Ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…