myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mbona ni mateso da kama ndio tiba ila ni dangerjifukizeniiiiiiiiii
View attachment 1427251
Dah!sio kwa majani haya[emoji23][emoji23]Tunaangalia tu.fisi akikosa nyama hata majani atakula[emoji23][emoji23]
hahaha jamani. Tunatafuta mbinu nzuri za kujifukizaDah!sio kwa majani haya[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji39][emoji39]Kitunguu saumu huweza kuchanganywa na asali, mchanganyo huu umeonyesha kuwa na matokeo chanya mara dufu ya pale utumiapo kitunguu pekee, pia mchanganyo huu unaonesha kusaidia wanaume wenye matatizo ya nguvu za kiume.
Rais kawaangusha vibaya mno watabiri pamoja na team lockdownhahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
mara hii Tanzania tumepata raisiiiiiiii
Anko yaani unaibukiaga hapa tu[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa kichwa ngumu sijapata kuona anayelingana naye....... sijui wafuasi wake wanajisikiajeRais kawaangusha vibaya mno watabiri pamoja na team lockdown
Kuna saa huwa nipo nyuma yake ila napendaga hotuba zake maana akitoa lazima wachambuzi wapate neno. Safi kabisa hahahahjamaa kichwa ngumu sijapata kuona anayelingana naye....... sijui wafuasi wake wanajisikiaje
Hivi ile picha ya samaki imesindikizwa na vidole vya mwanaume haswa ilipotelea wapi?Kujipikilisha time...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1427147