carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitaki
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile suruali ilivuma balaa just imagine kuna siku niliikuta watsup status kwa ndugu yangu mzito nikabaki kucheka tu. Halafu hapo jana yake tu ndo nilikua nimeiibua upya humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#surualiyenyewesibadoipo?
Hee utanifanya nikaisake upya sikuona gari ujue ilikua na biblia pale alipiga kutuonesha mstari flan akina sie tukachunguza mpaka suruali yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile auruali ya kitambaa kwenye gari?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka mbali aiseh
kuna siri gani kubwa iko nyuma ya usingizi???Kulala Kuweza Kukusaidia Kupoteza Uzito
Watafiti wamegundua kwamba watu ambao wanalala chini ya masaa 7 kwa usiku ni uwezekano wa kuwa overweight au feta. Inadhaniwa kuwa ukosefu wa usingizi huathiri usawa wa homoni katika mwili unaosababisha hamu ya kula. Mahomoni ghrelin na leptin , ambayo hudhibiti hamu ya chakula, yamepatikana kupotoshwa na ukosefu wa usingizi. Ikiwa unataka kudumisha au kupoteza uzito, usisahau kwamba kupata usingizi wa kutosha mara kwa mara ni sehemu kubwa ya equation.
Kifo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]kuna siri gani kubwa iko nyuma ya usingizi???
Usigizi na kifo hakuna binadamu anayefahamu info zake kwa undanikuna siri gani kubwa iko nyuma ya usingizi???