Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama utapanda katika chombo chenye uwezo wa kwenda spidi ya mwanga ambayo ni 300,000,000 m/s na uliondoka ukiwa na miaka 15 ukatumia miaka 5 ukiwa katika chombo hicho. Ukirudi Duniani marafiki zako ambao mlikuwa nao sawa miaka 15 utawakuta wakiwa na miaka 65 lakini wewe una miaka 20.
Chanzo: Study, Nasa...
 
Kinadharia (Theory) hakuna chombo ambacho kinaweza kusafiri kwa spidi ya mwanga ambayo ni 300,000,000 m/s. Lakini kama siku itawezekana kutakuwa na chombo kitakachoweza kusafiri katika spidi hiyo, Utaweza kuizunguka dunia mara 7.5 kwa sekunde 1 tu.
Chanzo: Space
 
Tecno wameachia toleo lao jipya la simu iliyopewa jina la Tecno Camon 15 ambayo imefanyiwa maboresho makubwa zaidi katika Kamera. Nyuma kuna Kamera 04 ambazo jumla zina zaidi ya 64MP na mbele ni 32MP ambazo zinakuja na teknolojia ya Ultra Night Lens itayokuwezesha kupata picha nzuri usiku. Bei elekezi mpaka sasa ni Tzs 400,000/=
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile suruali ilivuma balaa just imagine kuna siku niliikuta watsup status kwa ndugu yangu mzito nikabaki kucheka tu. Halafu hapo jana yake tu ndo nilikua nimeiibua upya humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#surualiyenyewesibadoipo?
Toka zako huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20200420_155049.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom