Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kazi ipo [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hivi hakua kwenye gari kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye bible nimekumbuka.Hee utanifanya nikaisake upya sikuona gari ujue ilikua na biblia pale alipiga kutuonesha mstari flan akina sie tukachunguza mpaka suruali yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pale alikua home. Maana bible kwenye gari wachache sana wanakua nazoHivi hakua kwenye gari kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye bible nimekumbuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pale alikua home. Maana bible kwenye gari wachache sana wanakua nazo
coz MTU anaeza akalala 12hrs na aka-feel kama amelala nusu SAA hiviUsigizi na kifo hakuna binadamu anayefahamu info zake kwa undani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulimpa shida sana kipindi kile[emoji23][emoji23]
Nakumbuka ankoo alirudi kwenda kuikagua ile pocha aone ilikuwa na shida gani,dah!
Hali hio huwa inatokea sana na wataalamu mbali mbali wamejitahidi kutoa maana zao bila kusahau waafrika tumeongezea utafiti wetu wa asili(kurogwa,kulimishwa usiku kucha,kutembezwa usingizini etc)coz MTU anaeza akalala 12hrs na aka-feel kama amelala nusu SAA hivi
✔✔Usingizi Husaidia Mwili Kurekebisha Mwenyewe
Kulala ni wakati wa kupumzika, lakini pia ni wakati ambapo mwili ni vigumu kufanya kazi ya kutengeneza uharibifu unaosababishwa na shinikizo, mionzi ya ultraviolet, na uharibifu mwingine. Siri zako zinazalisha protini zaidi wakati unasingilia. Molekuli hizi za protini huunda vitalu vya jengo kwa seli, zinawawezesha kurekebisha uharibifu.
Mambo tayari shemeji sogea tu. Wewe wawili (wale wadogo) na mimi wawili (wale wakubwa kidogo). Pembeni tunasukumizia na supu ya kabeji na kimvinyo chekundu kidogo au Nyagi/K-Vanti kama unataka [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi ile picha ya samaki imesindikizwa na vidole vya mwanaume haswa ilipotelea wapi?
Numbisa
carbamazepine
Sent using Jamii Forums mobile app
😋😋😋😋😛Mambo tayari shemeji sogea tu. Wewe wawili (wale wadogo) na mimi wawili (wale wakubwa kidogo). Pembeni tunasukumizia na supu ya kabeji na kimvinyo chekundu kidogo au Nyagi/K-Vanti kama unataka [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1427327