myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Siku ingine
Duh...Tafiti: Matumizi ya Bangi' yanaweza kukubadilisha moja kwa moja namna unavyotembea. Watumiaji wengi wa Bangi' hutembea kwa haraka huku mabega yao wakishusha chini kidogo!
Chanzo: Green Rush Daily
Ukiona hiyo gari hivo inalazimisha mtu kukimbia ndiyo aepuke vibokoCurfew ya jirani hukoView attachment 1427279
Hatari sana, ila na endelea vizuriKama uko siriazi nenda ukapime haraka. Kwa umri wako huo hata ukiwa nao utapona tu. Ila kumbuka kwamba kwa jinsi unavyokuwa na wasiwasi ndivyo unaharibu immune system yako.
(Ila siku hizi mtu hata ukikohoa tu moyo huoooo. Utafikiri kabla ugonjwa huu haujaja tulikuwa hatuugui homa na mafua. Naamini uko OK [emoji1545][emoji1545])
CHAPUTA forevaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mpaka 64 mtu bado memba wa CHAPUTA duh !!!
Kapaniki na mafua yake tu hana lolote huyo...na chuma ya doshi tu yaweza mtibu akapona kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee!
Huyu binti niliona sehemu kama anaaga kabisa japo umri kaudabo shwaini zake...
Mungu awe upande wake apone haraka
Sent using Jamii Forums mobile app