Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mimi nilishawahi kujifungia ndani kabisa.
Mimi nilishawahi kujifungia ndani kabisa.
Ndio alafu unaweka Nobodystart conversation?
bingo.......mubarikiwe nyoteNdio alafu unaweka Nobody
Kwa nini unafunga!bingo.......mubarikiwe nyote
sina dhamira ya kuifunga just nilitaka nitolewe ujinga (nilidhani wanaotumia application pekee ndio wenye uwezo wa kufunga inbox).Kwa nini unafunga!
ondoa wasiwasi, waziri mkuu wangu hana mamlaka makubwa (acha tuendelee kujifukiza kwa muarobaini)Mkorea kwa Waziri mkuu panakuwa bize sana 😂😂
Nimekuelewa!sina dhamira ya kuifunga just nilitaka nitolewe ujinga (nilidhani wanaotumia application pekee ndio wenye uwezo wa kufunga inbox).
sijawahi kukutana na changamoto itakayonifanya nifikirie kuifunga INBOX.
fanya uhame DAR.......nimesikia taarifa wajanja wa mjini wamekimbia hospitaliTubarikiwe sote mzee
Ameen 🤲
Yes hapo hapo unaweza weka nobody au utakavyostart conversation?
ubarikiweYes hapo hapo unaweza weka nobody au utakavyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikawaje?Mimi nilishawahi kujifungia ndani kabisa.
Amenubarikiwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikawaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhan nahisi alikaa kwa dakika. Nilishawah kushika nyuma ya friji nione panakuwaje ule mtetemeko nilirushwa sina hamu
- aliganda kama maji
- au aliwahiwa na beki 3