Aisee!!!keyboard zinatuhadaa, zinatufanya tuwe wajanja, tuwe werevu, tuwe wapumbavu, tukose heshima na utu.......
Ukweli mchungu: Mama yangu mzazi alijiuza kwa baba yangu mzazi - JamiiForums
uliwachukua na watoto wapate kuiona nyumba ya milele ya bibi yao?Aisee!!!
Mungu kawapendelea watu wengine, wameishi kwa raha hadi wameweza kugundua madhambi ya wazazi wao.
Ni wiki mbili tu zimepita nimetoka kulilalia kiburi la mama yangu, miaka 22 imepita, nahisi ni kama jana tu. Sijui kwanini bado namheshimu na kumpenda!
Inatosha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, nimetokea sehemu huko, nikajikuta nageuza uelekeo. Mungu akipenda June nitawapeleka kwenda kumsalimia, tulishapanga kabla ya ujio wa corona, nilishindwa kuvumilia hadi Juneuliwachukua na watoto wapate kuiona nyumba ya milele ya bibi yao?
Wameona wacha warudi nyumbani kujifukiza
dah! bado hatupo serious kwenye haya mapambano dhidi ya coronaWameona wacha warudi nyumbani kujifukiza
Naendelea vizuri kabisa
Mmmh!Hivi leo si ndio TBT
Nakumbuka kisa hiki hapa: enzi hizo hiyo ID inajiita Edelyn. Kwanza nilikuwa najua ni mmama fulani hivi either single ama divorced.
Huyu mama alikuwa mtata sana, akishusha comments hapo ni pande la gazeti unascroll mpaka kidole kinagoka. Anapenda ubishi sana yan ubshi kwake ulikuwa damuni typically na anapenda kubishana mpaka na Me....
Me ni mbishi kiasi ila uwa sipendi kubishana na wanaume.
Kuna Uzi mmoja siukumbuki fresh ila ulikuwa unatusema sisi KE huko ndiyo tukajikuta tumezoeana. Uzi ulibase na wife materials kwamba eti kama binti hautakiwi kuondoka kwenu mpaka uolewe. Na binti kama binti sio vizuri kujianzishia maisha yako kaa kwenu subiri mume ( Uzi ulikuwa na malumbano ule.
Sasa huyu Edelyn akikuqoute anaweka kipande cha gazeti me vikanishinda nikakimbia Uzi nikamuacha na ID moja hivi inajina la wine collection ya Saints.
Siku hazigandi, nikaja kujua kumbe yule mtu ni dogo yan dogo kabisa under eighteen 😂😂😂😂😂
Ila this time ameacha ukaksi, kapoa akishusha comments ni kawaida tu. Watu wa arts tuna tabu sana (kwenye kuandika na kuongea)
Huyu binti anaongea, anaonekana ni muongeaji mno. First time naiskia sauti yake nikajua tuni wale wa we una maneno mawili ye kashatoa yake tisa. Ila anakisauti kizuri
Cc: code open kabisa mjitag wenyewe
Umefeli?Mmmh!
Tumekubali kushindwa sasa tumemuachia tu Mungudah! bado hatupo serious kwenye haya mapambano dhidi ya corona
Ni thread ulifungua ikahmishiwa huku au? Hapo labda nimemjua Saint AnneUmefeli?
Yan hapo ni sawa sawa na UE imetoka questions za test one na two then na zile individual assignments. Ukisup we utakuwa wa ajabu 😂😂😂
Wasn't a thread, just a comment na nimecomment hapa.Ni thread ulifungua ikahmishiwa huku au? Hapo labda nimemjua Saint Anne
Rudia tag
Ngoja aje mwenyekiti wangu wa Beijing conferenceHivi leo si ndio TBT
Nakumbuka kisa hiki hapa: enzi hizo hiyo ID inajiita Edelyn. Kwanza nilikuwa najua ni mmama fulani hivi either single ama divorced.
Huyu mama alikuwa mtata sana, akishusha comments hapo ni pande la gazeti unascroll mpaka kidole kinagoka. Anapenda ubishi sana yan ubshi kwake ulikuwa damuni typically na anapenda kubishana mpaka na Me....
Me ni mbishi kiasi ila uwa sipendi kubishana na wanaume.
Kuna Uzi mmoja siukumbuki fresh ila ulikuwa unatusema sisi KE huko ndiyo tukajikuta tumezoeana. Uzi ulibase na wife materials kwamba eti kama binti hautakiwi kuondoka kwenu mpaka uolewe. Na binti kama binti sio vizuri kujianzishia maisha yako kaa kwenu subiri mume ( Uzi ulikuwa na malumbano ule.
Sasa huyu Edelyn akikuqoute anaweka kipande cha gazeti me vikanishinda nikakimbia Uzi nikamuacha na ID moja hivi inajina la wine collection ya Saints.
Siku hazigandi, nikaja kujua kumbe yule mtu ni dogo yan dogo kabisa under eighteen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila this time ameacha ukaksi, kapoa akishusha comments ni kawaida tu. Watu wa arts tuna tabu sana (kwenye kuandika na kuongea)
Huyu binti anaongea, anaonekana ni muongeaji mno. First time naiskia sauti yake nikajua tuni wale wa we una maneno mawili ye kashatoa yake tisa. Ila anakisauti kizuri
Cc: code open kabisa mjitag wenyewe
Ule uzi wadada mlijua kufunguka 😂😂😂😂😂😂😂😂Alisema "Kama wamepata kazi mbali na kwao walale stand?"