Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mwenyewe tu, baada ya muda kidogo mlango huwa unalegea kawaidaHee Sasa nani alikufungulia?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hako kajamba nani kafilie huko mfyuuu zake
Aaah pole kwa king mdogoMwenyewe tu, baada ya muda kidogo mlango huwa unalegea kawaida
😂😂😂😂Hata hamna zawadi cheiii
Duh!!Hivi leo si ndio TBT
Nakumbuka kisa hiki hapa: enzi hizo hiyo ID inajiita Edelyn. Kwanza nilikuwa najua ni mmama fulani hivi either single ama divorced.
Huyu mama alikuwa mtata sana, akishusha comments hapo ni pande la gazeti unascroll mpaka kidole kinagoka. Anapenda ubishi sana yan ubshi kwake ulikuwa damuni typically na anapenda kubishana mpaka na Me....
Me ni mbishi kiasi ila uwa sipendi kubishana na wanaume.
Kuna Uzi mmoja siukumbuki fresh ila ulikuwa unatusema sisi KE huko ndiyo tukajikuta tumezoeana. Uzi ulibase na wife materials kwamba eti kama binti hautakiwi kuondoka kwenu mpaka uolewe. Na binti kama binti sio vizuri kujianzishia maisha yako kaa kwenu subiri mume ( Uzi ulikuwa na malumbano ule.
Sasa huyu Edelyn akikuqoute anaweka kipande cha gazeti me vikanishinda nikakimbia Uzi nikamuacha na ID moja hivi inajina la wine collection ya Saints.
Siku hazigandi, nikaja kujua kumbe yule mtu ni dogo yan dogo kabisa under eighteen 😂😂😂😂😂
Ila this time ameacha ukaksi, kapoa akishusha comments ni kawaida tu. Watu wa arts tuna tabu sana (kwenye kuandika na kuongea)
Huyu binti anaongea, anaonekana ni muongeaji mno. First time naiskia sauti yake nikajua tuni wale wa we una maneno mawili ye kashatoa yake tisa. Ila anakisauti kizuri
Cc: code open kabisa mjitag wenyewe
Hivi leo si ndio TBT

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu CR7 aondoke madrid hadi ramos atamsifia messi. Jealous mbaya utadhani aliwaibia magoli akahama nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😱😱Hypersomnia' ni hali ambayo humpata mtu ambapo anaweza akalala zaidi ya masaa 12 mpaka 15 lakini akiamka bado anajisikia amechoka na kutaka kulala zaidi.