D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
ngoja tusubirie ushuhuda kutoka kwake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhan nahisi alikaa kwa dakika. Nilishawah kushika nyuma ya friji nione panakuwaje ule mtetemeko nilirushwa sina hamu
Kijana mjinga sana huyu. Uamuzi wa mama yake haumhusu kwanza ashukuru kwa hela za baba yake yeye kaishi vizurikeyboard zinatuhadaa, zinatufanya tuwe wajanja, tuwe werevu, tuwe wapumbavu, tukose heshima na utu.......
Ukweli mchungu: Mama yangu mzazi alijiuza kwa baba yangu mzazi - JamiiForums
kumpa cheo cha ujinga ni kumuongezea heshima.......Kijana mjinga sana huyu. Uamuzi wa mama yake haumhusu kwanza ashukuru kwa hela za baba yake yeye kaishi vizuri
Mkorea kwa Waziri mkuu panakuwa bize sana [emoji23][emoji23]
ππππondoa wasiwasi, waziri mkuu wangu hana mamlaka makubwa (acha tuendelee kujifukiza kwa muarobaini)
Kuna wahuni wametoroka karantini au?fanya uhame DAR.......nimesikia taarifa wajanja wa mjini wamekimbia hospitali
wewe muhuni unaishi wapi?Kuna wahuni wametoroka karantini au?
Taa ilizimika ila siunajua mlango unakuwaga mgumu kufungula muda mfupi baada ya kuufunga? Nilitaka kulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikawaje?
ππππππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkorea si Bishoo na wale ugonjwa wao Bishoo/Tozi
ππMimi nilishawahi kujifungia ndani kabisa.
Ooh! Hii mbaya sana, jana nimemsikia yule babu wa Loliondo kasema kikombe chake kinatibu Corona sasa usikute wanataka kwenda huko
halafu muheshimiwa mtakatifu anavutiwa sana na hayo mambo ya tiba za jadiOoh! Hii mbaya sana, jana nimemsikia yule babu wa Loliondo kasema kikombe chake kinatibu Corona sasa usikute wanataka kwenda huko
Yule nae alishawahi kupiga kile kikombe cha babu miaka hiyo, labda akizipata taarifa zake anaweza kutoa tamko la kupeleka wagonjwa wote kwa babuhalafu muheshimiwa mtakatifu anavutiwa sana na hayo mambo ya tiba za jadi
yes, ndio target yake.....yule mzee ana chembe chembe ya ubahiliYule nae alishawahi kupiga kile kikombe cha babu miaka hiyo, labda akizipata taarifa zake anaweza kutoa tamko la kupeleka wagonjwa wote kwa babu