moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wakuu naomba niwaulize,
Memba wangapi miongoni mwetu waliojiweka kwenye kizuizi cha nyumbani? Hasa tuliopo Tanzania.
Mi binafsi sipo kizuizini ingawa sijivunii hali hiyo.
Ni vile mazingira ya kikazi hayajanipa nafasi hiyo