Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Haiwezekani kukaa na hasira dhidi ya umpendae kwa mda mrefu. Hasira inayofika siku tatu au zaidi inamaanisha kwamba hauna upendo.
MeKuna watu wana alama ya asili ya kuwaamsha muda wanaotaka, hii ni kwa sababu wana homoni ya asili ya stress.
Hahahaha
And me
AiseeeKama mtu akiongea na wewe halafu kwenye maongezi akakungalia machoni kwa asilimia 60 ya maongezi basi umemboa mtu huyo. Kama atakuangalia kwa asilimia 80 basi umemvutia mtu huyo na kama itafikia asilimia 100 basi mtu huyo anakutishia.
Fresh kakaBro habari za majukumu
Nahisi wanatumia software kupata namba.kama kuna hiyo moja unafungua,kisha unajaza jina la mtandaa,mfano Vodacom alafu namba kibao zinakuja na inakuhakikishia 99%ya zile namba ni za kweliHawa matapeli wanapata vipi namba nawaza
Wanakera sana aisee kuna namba moja haipiti mwenzi anatuma ujinga huuNahisi wanatumia software kupata namba.kama kuna hiyo moja unafungua,kisha unajaza jina la mtandaa,mfano Vodacom alafu namba kibao zinakuja na inakuhakikishia 99%ya zile namba ni za kweli