Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unapopiga chafya, unakufa kwa sekunde. 49. Unapotekenywa hucheki, bali ni itikio na kupaniki (panic response). Huwezi jitekenya mwenyewe kwa sababu mwili hauhisi hatari yoyote. Kawaida enzi za zamani kutekenya ilitumika kama adhabu.