NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
Yaani hizi nondo lazima zitumike 😁😁Daah sijui nani anawindwa hapo ,siri zoote atatoaaa hahaha
Yaani hizi nondo lazima zitumike 😁😁Daah sijui nani anawindwa hapo ,siri zoote atatoaaa hahaha
Kuna mtu huwa namwambia hivi kila sikuKama urafiki utafikisha miaka saba, basi urafiki huo utadumu milele.
HahahMtu akitokea katika ndoto unayoota, basi ni kwa sababu mtu huyo kakuhamu (kakumiss).
EeKuna mabingwa wa kununa wewe asikwambie mtu. Kumbe huwa hawana upendo
YesNdoto zako zinabeba ujumbe mhimu sana. Asilimia 70 ya ndoto zako zina ujumbe wa siri.
Mh Bila alarm nalala tuuKuna watu wana alama ya asili ya kuwaamsha muda wanaotaka, hii ni kwa sababu wana homoni ya asili ya stress.
I like what i see
Kuna mjinga namuwaza kutwa nzima kwahiyo unataka kuniambia na yeye ni hivyohivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kushindwa kumtoa mtu akilini mwako imamaanisha kwamba nawe upo akilini mwa mtu huyo.
Ndio maana wanajiambukiza korona sana nini?Mwanaume akiwa hajisikii huru au akiwa hana amani, basi hushika kichwa au uso wakati mwanamke hushika aidha nywele, hereni, mavazi, mikono au shingo
Sijawah kuweka alarm,maana nikinuia naamka muda flan inatokeaMh Bila alarm nalala tuu
AiseeKushindwa kumtoa mtu akilini mwako imamaanisha kwamba nawe upo akilini mwa mtu huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ee hivyo hivyoKuna mjinga namuwaza kutwa nzima kwahiyo unataka kuniambia na yeye ni hivyohivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] daahNdio maana wanajiambukiza korona sana nini?