Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huwezesha kujizalisha upya kwa seli

Seli hukua na kuchakaa au hata kufa kwenye mwili wa binadamu. Kama ilivyo kwa kinga mwili, utafiti unaonyesha kuwa unapofunga mwili huzalisha seli mpya ili kujiaanda au kukabili badiliko lolote linaloweza kutokea.
 
Husaidia Kutawala umbo la mwili na mwonekano

Njia nzuri ya kutawala umbo au mwonekano wako ni kwa kutawala kile unachokula. Hii ndiyo sababu walimbwende au warembo hujizuia sana kula hovyo ili wasije wakaharibu mwonekano wao.Kwa njia ya kufunga kula utaweza kutawala umbo na mwonekano wa mwili wako kama unataka uwe mnene au mwembamba.
 
Huokoa pesa

Hii ni faida ambayo siyo ya kiafya lakini inatokana na kufunga. Kama umezoea kununua chakula, mara ufungapo utaokoa pesa nyingi ambazo ungezitumia kwa ajili ya kula.Naamini hii ndiyo sababu hata watu wenye bajeti ngumu hupunguza milo ya chakula ili waokoe pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…