moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Serikali yakiuka kanuni za mazishi ya waliofariki kwa corona.
Serikali ya Nigeria imeruhusu kundi kubwa la waombolezaji kuhudhurua mazishi ya mnikulu wa Ikulu ya Abuja Nigeria aliyeambukizwa corona kwenye ziara yake ya kikazi nchini Ujerumani, ambaye amefariki na kuzikwa juzi.
Abba Kyari kabla ya kifo chake , alisafirishwa kwa ndege toka Abuja mpaka Lagos kupatiwa matibabu kwenye hospitali binafsi hali iliyopelekea hasira za wananchi wa taifa hilo.