Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sokon leo nimecheka wauza mboga wamevaa mask za kushona wakitaka kuongea,kukohoa,kupiga chafya wanaishusha wakimaliza wanairudisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!
Sema elimu ya uvaaji na matumizi ya mask inabidi itolewe.
Asubuh ya leo kuna mtu nimemuona kavaa lakini kageuza.

Hapa kuna mtu nlikuwa naongea nae anakwambia anataka kuanza biashara ya kuuza majani ya mwarobaini fungu 500
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndo tz sasa
 
Back
Top Bottom