Mafuta ya mbegu za mlonge hutumika kama kiuaji sumu na pia hutibu uvimbe. Hutibu maumivu ya kwenye mishipa, baridi yabisi, gauti, kukamaa mishipa, magonjwa ya ngono na majipu.
Mafuta ya mbegu za mlonge pia huongeza kwa kiasi kingi kinga ya mwili (CD4), Kama una tatizo la kinga ya mwili wako kushuka basi tumia Mafuta ya mbegu za mlonge kwa mwezi mmoja mpaka mitatu na kinga yako itaimarika sana.