moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mungu atupe weekend njema
Iwe jumamosi yenye Baraka
Ni kweli ndugu yangu, ilikuwa kama hamna mawese au karanga unga wa binzari ilikuwa ndio mbadala kule kijijini. Nimeimiss halafu yake kwakweli... Ahsante binti mpole kwa kunikumbusha ujana wangu.
Ndani ya siku ngapi hizi naenda kuichimbua japo sijaona kwenye maelezo ya binti mpole kama inaongeza nguvu za kiume
Inshallah tukijaliwa wapendwa nawatakia Ramadhan njema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumpata Davet ni rahisi sana, siwezi kufika Buza bila kupitia kwake. Kwa Stella ni mtihani kwa kweliCarba aje aonje hashua, KD na SA wawepo pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzeeni tunatapatapa ndugu yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nguvu za kiume kwenye bizari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]