Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahahahaa sema ule ukweli huyu jamaa nilikuaga nahisi nati zimelegea kabakiza za kuvukia barabara tu[emoji125][emoji125]Yani nimeingia humu fasta kuleta hii taarifa kumbe tayari ipo? ππππView attachment 1430212
Kweli banaπππ awe anasema ni maeneo gani ambayo umeme utakatika
nataka nibadilishe username......
kila mtu jina analolipenda baadae nifanye maamuzi
πππ daah!Hahahahahaa sema ule ukweli huyu jamaa nilikuaga nahisi nati zimelegea kabakiza za kuvukia barabara tu[emoji125][emoji125]
Ngoja akija tena tutamshika shati atoe location πKweli bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu nishtue mambo gani hayo nami niwe milioneaπππ daah!
Ulikuwa unamkosea sana huyu mwamba ni genius balaa, alafu mbona wewe na Kanye kuna mambo mnaendana sana sema wewe hujui tu