Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400016900693_80370.jpg
 
Asèe
Kanye anajiamini sanaaaaa
Kanye ni mtu mwenye msimamo
Kanye hafati mkumbo wa watu wengine

Kupitia hizo sifa nilizotaja Kanye ni kama Nyuki kaweza kutengeneza Asali

Wewe ni kama Nzi bado unapita njia mbaya sasa ukibadilisha route tu ukaanza kutua kwenye Maua basi utatengeneza Asali

#upcomingMillionaire [emoji111]
 
Back
Top Bottom