Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200425-WA0013.jpg
 
Minyusi ya ukutani siipendi,naiogopa inajicho kali ukikuangalia kama umewahi kukuona mahali na ina kisasi nikiona huwa nakimbia.
Huwa naitishia kuirukia ikiwa haijajiandaa inadondoka basi ni mwendo kupiga mpka kinakufa. Ambayo siipend sana ni ile ya ukutan nje blue na nyekundu ikikuona tu inatikisa kichwa tunasema inatukana
 
Back
Top Bottom