Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Una ujasiri mimi hata kuipiga huwa naogopa nikiona hasa msalani ni kukimbiaHuwa naitishia kuirukia ikiwa haijajiandaa inadondoka basi ni mwendo kupiga mpka kinakufa. Ambayo siipend sana ni ile ya ukutan nje blue na nyekundu ikikuona tu inatikisa kichwa tunasema inatukana