myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😀😀😀Jina nzuri utakuwa na kumbukumbu mwenzi wa balaa uliobadili Username
AiseeInadaiwa rais wa Rwanda anatibiwa Ufaransa
✔✔✔Vilevile tuwe na nidhamu ya kujitunza kiafya.Tukumbuke kuwa ili uweze kuishi vizuri unapaswa kuwa na afya njema,na ili uwe na afya njema nidhamu inahitajika pia
Kanye anajiamini sanaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu nishtue mambo gani hayo nami niwe milionea
Corona mpendwa
Ng'wanamalundi Ntemiobugali (Ng'wanamalundi Mfalme wa Sembe)nataka nibadilishe username......
kila mtu jina analolipenda baadae nifanye maamuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora ningeitwa mbu cheeeiii sipendi nzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanye anajiamini sanaaaaa
Kanye ni mtu mwenye msimamo
Kanye hafati mkumbo wa watu wengine
Kupitia hizo sifa nilizotaja Kanye ni kama Nyuki kaweza kutengeneza Asali
Wewe ni kama Nzi bado unapita njia mbaya sasa ukibadilisha route tu ukaanza kutua kwenye Maua basi utatengeneza Asali
#upcomingMillionaire ✌
Huyu jamaa yuko vizuri. Miaka michache huko nyuma ilibakia kidogo awe bankrupt huku jamaa wa TRA wakimtishia sana. A true hustler indeed !!!
Poleni mliokua kazini
Wagonjwa Mungu awaponye
Mungu atupe afya na uzima
Mungu atupe jioni njema