Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
😀😀 Sitaki kupelekwa mbele mimi.Mtishe na corona.
Akifika uvue Barakoa kisha mshike mkono na umwambie umeambukizwa corona
😀😀 Sitaki kupelekwa mbele mimi.Mtishe na corona.
Akifika uvue Barakoa kisha mshike mkono na umwambie umeambukizwa corona
Utanikuta kwa mpalange ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumpata Davet ni rahisi sana, siwezi kufika Buza bila kupitia kwake. Kwa Stella ni mtihani kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili neno kwa mpalange nalisikia likitajwa sana lakini sijaelewa ndio wapi. Tafadhali carbamazepine nijuze nami niondoe tongotongo.Utanikuta kwa mpalange ankoo[emoji23][emoji23]
Ndo unajiandaa kujifusha?[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1430386
Mwendo wa lemao