Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

bbcnews-20200425-0002.jpg
bbcnews-20200425-0001.jpg
 
SHINIKIZO LA DAMU

Boga lina kiwango kikubwa cha Potassium ambayo husaidia kupunguza Kiwango cha Madini ya sodium mwilini ambayo hupelekea kuongezeka kwa shinikizo la damu(high blood pressure) Kwa hiyo boga ni mojawapo ya vyakula muhimu kwa mtu mwenye presha ya kupanda.
 
Back
Top Bottom