Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
🤣🤣Afadhali ukawe quarantine ya huko kidogo utaenjoy na hali ya hewa muruwa kabisa.
Kama ni huko kwa shamba siwezi kataa.
🤣🤣Afadhali ukawe quarantine ya huko kidogo utaenjoy na hali ya hewa muruwa kabisa.
Kwema mkuu, michakato inakwendaje mkuu
Shwari kabisaMambo vipi upande huo?
Karibuni DsmView attachment 1430538
Sent using Jamii Forums mobile app
View nzuri sana tatizo hizo nyumba ndogondogo kwenye background zimeharibu picha
Cha muhimu uwe na vitendea kazi vyote muhimu vya kukufanya usiwe bored🤣🤣
Kama ni huko kwa shamba siwezi kataa.
Safi sana mkuu
DuhAisee
Kwa wakati huu siwezi lakini nikipata hela za kujisimamia huko quarantine, nitawatisha.
Viti vya[emoji542][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1430547
Usiku wa kuambulia locationViti vya[emoji542][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hili shamba nimelipenda sana.
Wakinishika nawaomba wanipeleke nyumbani kwa kuwa sina hela za kujilipia huko quarantine mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku wa kuambulia location
Drafti hiloUsiku wa dakuView attachment 1430568
Homa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]