moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikajua umeamua kujilipua lokesheni ndio maana nimesisitiza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankooo[emoji125][emoji125][emoji125]
Kwema kabisa ankoo.Na vile haujaenda miaka mingi.
Kwema lakini?
Jikinge ili upate kuishi miaka mingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wameyapatia mzeeDuh watu na mipunga yao dadeki
Kwa wakati huu siwezi lakini nikipata hela za kujisimamia huko quarantine, nitawatisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikajua umeamua kujilipua lokesheni ndio maana nimesisitiza.
Nafuta niliyo kukwotua, na wewe futa.
Ndio ukome sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unataka kupelekwa wapi? 😀😀😀😀 Sitaki kupelekwa mbele mimi.
Misiba ya tembo na nyani inatilisha huruma sana.
Hayo ndio maneno sasa mzaramo wa kinyakyusa [emoji16][emoji16][emoji16]Kwema kabisa ankoo.
Najiandaa na safari ya mwakaleli
Wakinishika nawaomba wanipeleke nyumbani kwa kuwa sina hela za kujilipia huko quarantine mimiMkuu unataka kupelekwa wapi? 😀😀
Sawa mkuu nimekusoma vyema 😀😀Wakinishika nawaomba wanipeleke nyumbani kwa kuwa sina hela za kujilipia huko quarantine mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo ndio maneno sasa mzaramo wa kinyakyusa [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Buza huko
😀 kama gani hivi ndiyi ata mimi nisifanye😂😂😂😂😂
Kila nikikumbuka nacheka sana, jf humu unaweza kufanya kitu halafu ukaishia kupata stress tu
Kule ndani mambo sio mazuri ata.Sawa mkuu nimekusoma vyema 😀😀
AiseeUtanikuta kwa mpalange ankoo[emoji23][emoji23]