Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Duh bonge la kambale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Homa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanichosha sasa ukufwe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Temp inasoma 39.5[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wakati unakiuka masharti tuKwani kupelekwa quarantine ni suala la lazima?
Au wakushike kwamba unakiuka masharti Lockdown au ni vipi hasa
KabisaaCha muhimu uwe na vitendea kazi vyote muhimu vya kukufanya usiwe bored
Hivi ni vitu gani vinaruhusiwa ukiwa quarantine? Ni muhimu tujue ili tujiandae.Kabisaa
Sana tu,page ya mwisho kuna mtu kaweka screenshot mleta mada anaomba msaada wa kufuta uzi😂😂😂😂😂
Kila nikikumbuka nacheka sana, jf humu unaweza kufanya kitu halafu ukaishia kupata stress tu
Mimi?? Acha kunisingizia[emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana hizo picha za mwana halafu njoo kwenye Comments za kina khantwe sasa. Dah! [emoji119]
Yani kila nikirudi huko naenda kucheka tu, nimesave link yake nitapita tena baadaeSana tu,page ya mwisho kuna mtu kaweka screenshot mleta mada anaomba msaada wa kufuta uzi
Wadau wamemuacha vibaya. Jamaa alienda photoshoot kavunja zake kabati wadau wamemvurugaYani kila nikirudi huko naenda kucheka tu, nimesave link yake nitapita tena baadae