Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Naumwa[emoji3][emoji3][emoji3]
Ujana maji ya moto lazima yatapoa na yakishapoa ndio tayari uzee huo, uhenga haukwepeki Khantwe
Mambo yako vipi lakini?
Nini shida tena?
Pole sana, Mungu akusimamie katika hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mdau anamuuliza eti "Umetoka lini Magu?"