Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mkatalunya huko ndani ni shida tupu π[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkatalunya huko ndani ni shida tupu [emoji3]
Hebu nimulikie huo uzi bro.πππππ
Kila nikikumbuka nacheka sana, jf humu unaweza kufanya kitu halafu ukaishia kupata stress tu
Pole bibi.
Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa - JamiiForumsHebu nimulikie huo uzi bro.
Ramadhan kareem bro.
Maandalizi yalisoma A+, hata ile picha camera man kalipwa pale ujue πUkute jamaa alijiandaa sana lakini mapokeo yamekuwa tofauti [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeuona bro.
Rudi hapa.[emoji125][emoji125]
Shukrani sana bro πHebu nimulikie huo uzi bro.
Ramadhan kareem bro.
Aisee, hata sikai sana.Shukrani sana bro π
Nakuona mzee wa dolia ushatimba
πππNimeuona bro.
Unaweza ukakuta ni fyekero la kaka mkubwa halafu kina Khantwe wanamwamvia vileππππ
Umekamatika sana siku hizi broAisee, hata sikai sana.
Tupo pamoja broπππShukrani sana bro π
Nakuona mzee wa dolia ushatimba
Duh bonge la kambale
Kambale huyu amevuliwa mto Duthumi, kwenye Kijiji cha Duthumi wilaya ya Morogoro vijijini