Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi sipo hivyo mbona?
Kama nimewahi kukuachia msala basi ujue sikunuwia kufanya hivyo.

BTW ni Ramadhan, hatuna budi kusameheana😀😀😀😀

NB: Hizi mask ni za muhimu.Hali ni mbaya sana naona.
Nazingua tu bro siunajua 90% ya maisha yangu humu ni uzinguaji tu

Haina noma naona leo niliweza kudumunayo mwanzo mwisho
 
✔✔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…