Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eti wajomba mnasemaje kuhusu jiwe kuomba WB kusamehe madeni kipindi hiki cha korona nchi zilizoasirika janga hili. Mada ni kwamba basi na sisi wandani tusamehewe kulipa kodi kipindi hiki cha korona au atupunguzie na sisi, kama mwaka mfano unalipa kwa awamu mbili au tatu, basi a minimize kidogo jaman, . Jaman ni ombi kama alivyoomba na yeye,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi cha korona kimemuathiri vipi wakati watu bado wanachapa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…