moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Gonga likes pata likes.
Vigezo na masharti vya uzi huu vinazingatiwa
Vigezo na masharti vya uzi huu vinazingatiwa
Eti wajomba mnasemaje kuhusu jiwe kuomba WB kusamehe madeni kipindi hiki cha korona nchi zilizoasirika janga hili. Mada ni kwamba basi na sisi wandani tusamehewe kulipa kodi kipindi hiki cha korona au atupunguzie na sisi, kama mwaka mfano unalipa kwa awamu mbili au tatu, basi a minimize kidogo jaman, . Jaman ni ombi kama alivyoomba na yeye,
Sent using Jamii Forums mobile app
HBD Kivuruge wa watu....[emoji267][emoji268][emoji271][emoji269]CARBAMAZEPINE [emoji269][emoji271][emoji268][emoji267]
Binti yangu mpole,faraja yangu,kivuruge wangu, ukaribu wako kwangu kwa kila anguko linitokeapo unanifanya niwe imara zaidi.
Ukinipigia simu nikikuitikia "mamaangu..." kama kuna tatizo unagundua mara moja cha upole wangu... "baba ni nini tena?... "
Sikupati hewani lakini naamini hapa utaonekana maana ndio makazi yetu ya furaha na amani tujumuikapo wana familia.
Ahsanteni wana uzi huu kwa kumfanya binti yangu angalau aweze hata kuongea na watu, upole wake ulikuwa unatia hofu...
Binti yangu carbamazepine nakuombea maisha marefu yenye furaha na amani tele sawa sawa na mapenzi ya Mungu,kila jirani lako likapate kutimia kwa wakati[emoji120][emoji120]
Happy birthday kivuruge
Umesha kuwa mkubwa sasa...
#siolazimauolewenatakawajukuu
View attachment 1431229
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy birthday carbamazepine uishi miaka mingi zaidi ya bi kidude.[emoji267][emoji268][emoji271][emoji269]CARBAMAZEPINE [emoji269][emoji271][emoji268][emoji267]